Take The Pledge Today

SKY GUY: The time I was pressured to smoke

2nd March 2023

Hey there SKY girls! My name is Cerullo, I'm 19 years old and ningependa kuwashow an encounter I had yenye ilinilead kuvuta Shisha. Heeeee. So ilianza nikiwa around 13 years. Maiye. Only 13. Nilikuwa na beshte na alikuwa na bash, so aliamua kununua shisha avute the whole day.

 

Niliona hii na nikajiambia, "damn, nangoja kuwa mkubwa pia ndio nijaribu." Truth be told, nilitaka kujaribu juu nilidhani hivyo ndio mtu anaweza fit in. Now years went by and boom there I was. Turning 18 and got my ID. Heeeeee. Sema the pressure getting wossa. Some of my close friends were getting into smoking shisha and when my birthday came along, walinishow ni smoke up. At that time sikuwa najijua, so nilidhani that was the way to fit in with my friends.

 

Lakini my best friend alicome through kunihelp. Alikuwa ananishow, "it's not a must you do it. It’s not cool at all. Pia iko na tobacco so zii.” I then went into soul searching. Kujitafuta na kujijua. Nikafigure out "Naaaaah smoking just ain't my thing" and after sometime hio pressure ilienda na sasa naeza deal nayo confidently juu najijua.

 

Wow! Tuko so proud of our SKY Guy Cerullo for kujijua na kustick na choices zake! We love to see it!