Take The Pledge Today

Choices Zako = Life Yako

31st October 2023

Hey SKY babes! Hii edition is all about the CHOICES we make. Ni important kujua that choices tuna make zina determine the life we live ata when it comes to friends. So wacha tubonge juu ya hizi choices and outcomes tunaweza pata

The choices we can make:

  • Kama SKY girls tunajua we deserve the right kumake our own choices when it comes to our relationships. It doesn’t matter ni nani but kama hauko comfortable unaeza make choices zenye zitakufanya you feel good
  • Ata kama uko kwa mbogi haimanishi we all have to make the same choices. Friends wanaunderstand that tunaweza like different things and make different decisions
  • Unaeza kuwa unakatiwa na boy alafu akupeleke date na alilipie, lakini babe imagine kama at the end of the day you don’t feel comfortable being with him unaeza kataa hio story.

With kila choice tunamake kuna consequences that can happen. Kama, positive choices = positive consequences alafu negative choices = negative consequences. 

BTW, kama umenotice different choices in the same situation zitakupatia different results so ni up to you kujua kenye unataka. 

Kumbuka unaweza change your mind and choices at any time. Lakini kama hauko sure on how to say NO to pressure unaweza tumia hizi tips:

  1. Be honest:  Ni important kukua honest  kwa friends wako about your feelings na boundaries. Kama wanataka you try smoking you can boldly tell them that’s NOT YOUR THING. 
  2.  Stay firm: Stick to your decision and don’t feel pressured to change your mind ukisema NO stand with it. Your choices should be respected
  3. You can offer alternatives: Kama huwezi sema yes. Unaeza suggest something else that mnaweza fanya instead.
  4. Change the subject: Unaweza sema joke alafu you change the subject watu wakicheka,

BTW, kama unataka more tips on staying true, check out SKY girls Mag 9 page 11 na 17. Kuna fun workbooks utapenda. Also check centre-spread pg 18 - 19 for section unaweza andika choices za yours.