Take The Pledge Today

SKY Advice: How To Set Your Goals And Smash Them!

23rd August 2024

Wacha we get kidogo serious. Goals zako zinaweza kuwa stepping stone to your success. Lakini kitu important ni venye unaziset.  So whether ni hiyo Chemistry grade inakusumbua ama unajaribu kusave pesa for the holiday break, it’s never too late kuset goals zako na kuachieve them.


  • THINK BIG


Kama SKY Girls tukona confidence. So when it comes to our goals, lazima tu think big na great things about ourselves na tujiamini. Kumbuka kama dreams zako hazikushtui, they’re small. So kua na confidence yenye itakuhelp kuwalk with your head up high.


  • WRITE DOWN YOUR GOALS


Tunajua kuna wenye mko na the names ya your favourite artists somewhere nyuma ya book ya math, or mahali ndani your locker. Sasa, the same way tunafanya hivyo na our fave things ndio tunafaa kufanya na goals zetu. This way unaeza ziona kila siku na ujikumbushe of what unafaa kuwork towards.


  • SET A DEADLINE


Kila mtu ako na deadline in life, kama za assignments na house chores . So set deadlines for your goals zenye ni reasonable so usijipate ukiprocrastinate kila time.


  • PLAN


Tunajua tumecome across hizo superhero movies where wanasimama around a table wakimake a plan of action. Unajua mbona wanafanyanga hivyo? Juu a goal bila plan ni wish tu. So kama plan haiwork, lazima uchange the plan, sio goal yako.


  • COMMIT TO YOUR GOAL


Commitment ni kitu most of us hufind hard kumaintain, but usikufe moyo sis, hizo goals zako zitamake your life better in the future. So stick to them ata ikiget difficult babe.


  • TAKE A STEP AT A TIME


Saa zingine goals hufeel too big, lakini imagine ata the biggest goal ni achievable. Anza kuzibreak down into activities ndogo alafu zitackle moja kwa moja. Kabla ujue, utakuwa umeachieve hio goal yenye ilikuwa kubwa na scary.

Babes, usisahau kutake care of yourself! Na kumbuka, with hard work na consistency unaweza achieve your dreams!