SKY Tok: Your Newest TikTok Series
23rd August 2024What’s up SKY Babes! Tumekuwa busy kwa kitchen tukiunda a new TikTok series inaitwa SKYTok.
Hii series itakuwa na segments noma sana penye:
- Utapata the inside scope kutoka your fave celebs kama Collo Blue
- Tuna weka spotlight on our fellow SKY Sisters ndio tuwapatie their flowers
- Tutabonga na different people kama Klaus & Naiseku kujua their opinions on matters zinatuaffect as teenage girls kama relationship pressures na self confidence.
Make sure ucatch the show on August 7th, 2024 pale on our TikTok page @SKYGIRLSKE. Make sure unatufollow ju we will have plenty of giveaways! Tupatane pale