5 Glow-Up Tips for 2025
12th March 2025Sis, kuglow up nimore than looking good, ni about loving & caring for yourself inside na out. Juu hii edition ni all about ku-glow up, hizi ni tips unaweza tumia :)
- Rest to Re-energise: Make sure unaget at least 8 hours of sleep kila siku juu ni important for your energy. A rested mind na body itakuhelp kufeel poa throughout your day.
- Own Your Confidence: Confidence huanza from within so kila siku jikumbushe that you are enough! In case unafeel low, unaweza kupractice positive affirmations. BTW check pg 10 - 11 for affirmations unaweza tumia.
- Stay True To You: Embrace individuality yako juu hakuna mtu kama wewe hii dunia yote. Stick to your thing na usichange for anyone, that's how you keep your glow.
- Take Care of Your Body: A balanced diet ya fruits na veggies ni the key ya kufeel your best juu itakeep your body strong. Pia usisaha kustay up-to-date na vaccines kama ya HPV yenye huprevent cervical cancer. Unaweza ongea na paro wako or a guardian ndio akupeleke kwa hosi to learn more. BTW, ni safe na a lot of teen girls wamepata.
- Self-Care: BTW, self-care sio selfish, ni necessary! Kumbuka kuset aside time ya kurecharge na kufanya vitu zenye hukubamba kama ni kuchora, reading novels ama hata kuspend time na mabeshte.
Kumbuka kuglow sio about perfection, ni about feeling your best! Keep shining babes, you got this!