SKY Fest Kisumu
12th March 2025Your Favourite teen girls' festival is coming to Kisumu on April 12 pale Show Ground na ni FREE ENTRY for SKY Girls!
Kama unajijua and you’re True to Yourself, jitayarishe kujibamba at the very first SKY Fest Kisumu. Btw, if you're below 18 years old, make sure maparo wako wamekupatia permission by signing the consent form. Sawa? Kama hauna permission, hautaweza ingia.
Itakuwa an amazing day filled with fun games & activities, entertainment kutoka your fave Djs, artists na pia influencers. So kama “Going to a festival” iko kwa your 2025 wishlist, SKY Fest Kisumu ndio the place to be, sawa babes?
Lakini, kabla urock up to the greatest teen bash, usisahau kukula breakfast mzito, hydrate na kupaka sunscreen juu jua itawaka moto sana.
Kumbuka kubook your ticket pale on our SKY Fest Website www.skygirlske.com/SKY-fest so that usimiss out na usisahau kupata permission kutoka maparo wako. Follow us pale social media @SKYGIRLSKE to keep up on all updates or call us on +254 799 759759 for more info!