How to Be That Girl (But for Real)
6th August 2025Umeona hio online trend ya That Girl. Anaamka mapema, skincare, anakunywa green smoothies, journaling, slaying in cute fits. Always looking kama amemake it.
Lakini tuko na swali: Is that really all it takes to be that girl?
Zii! Being That Girl sio about looks na aesthetics. Ni about making choices zenye zinaprotect peace yako na zinakuhelp ku grow, ata kama hakuna mtu clapping for you. Let’s break it down.
Start with How You Speak to Yourself
That Girl anajua power ya voice yake, especially the one in her head.
- Instead of kujiambia: "Lazima nijibadilishe ndio nipate mabeshte."
- Sema: "Nadeserve marafiki wenye wanaaccept the real me."
- Instead of kufikiria: "Mbona siko kama yeye."
- Jiambie: "Nafocus on kuwa the best version of me."
Jiongeleshe venue ungeongeleshe rafiki yako, hapo ndio utaanza kubuild confidence yako.
Care for Your Body and Mind
Yes, kukunywa maji ni muhimu. Yes, kujournal husaidia, lakini kuwa That Girl pia ina include:
- Kutake care of your mental health, sio tu skincare
- Saying “siko down” when the energy iko off
- Kuskip the vape hata kama watu around you are trying it
That Girl huput herself first. Hatasema yes just because anaogopa reaction za watu akisema no.
Show Up For Your Friends
Being That Girl doesn’t mean unafocus sana on your goals hadi unasahau that being there for your friends ni muhimu. Unaweza show up by:
- Kuskiza bila judgement
- Hyping your girls up bila jealousy or shady vibes
- Respecting when your friend akisema, "That’s not my thing."
Friendship sio competition. Ni support, laughter and being there when they need you and vice versa.
Set Boundaries Bila Kufeel Guilty
If you want to be That Girl for real, protecting your peace sio optional, ni essential. Na hiyo inakuja with boundaries.
Boundaries zinahelp ku maintain your vibe badala ya kufanya vitu watu wengine wanataka. Unaweza sema:
- “Si feel hii vibe, so siko down.”
- “That’s not my thing.”
- “Leo siwezi come through, I need to rest.”
And guess what? You don’t owe anyone a long explanation. Saying “no” with love ni valid. You can choose you, bila guilt.
Celebrate Your Small Wins
Let’s be honest. Kuna siku the biggest win ni kushow up for yourself. Kama:
- Nilichoose kujitoa venye squad yangu ilikuwa inafanya kitu that makes me uncomfortable. Ilikuwa hard, lakini I’m proud of me.
- Siku reply to hio text kutoka mtu hudrain energy yangu. I used to, lakini I’m learning.
- Nilishow beshte yangu that I’m not into smoking vitu kama shisha. Ilikuwa awkward, lakini nilijua ilikuwa the right choice for me.
Hizi tips zinakushow that being That Girl sio about kuwa Instagram-worthy, ni about kujichunga, kushow up for yourself na pia kusupport circle yako.
Real Talk, Babe - being That Girl haimaanishi kuwa perfect 24/7. Ni about kuwa real with yourself, choosing peace over pressure, na showing up for yourself na your circle. So hydrate, rest, sema “no” bila guilt, hype your girls, and most importantly… keep being true to you.
You already are That Girl.