Take The Pledge Today

The Vibes Never Lie: 5 Signs The Friendship Is Fake

6th August 2025

Wacha tubonge juu ya toxic friendships. Sio kila saa bad vibes huwa dramatic, saa zingine ni vitu ndogo ndogo tu, lakini deep down unajua ziko off. 


So, how do you spot fake energy na how do you protect your peace? Wacha tufind out.


Red Flag Alert #1: They Make You Feel Small In Front Of Others

Checklist:

☐ Mi hu shrink personality yangu to “fit in” when I’m with them

☐ Yeye humake fun of venye naongea or kenye na believe in

☐ Mimi hu avoid kusema certain things just kukeep the peace


“Being around someone haifai kufeel kama walking on eggshells. Unadeserve kufeel safe to be your true self around your friends.”


Red Flag Alert #2: They Don’t Respect Your Choices

Checklist:

☐ Mi hu feel judged for choosing different things from them

☐ Yeye huroll macho zake nikisema “I don’t vape” ama “I’m not smoking”

☐ Yeye huinsist nifanye kitu hata after nimempatia reason sitaki kufanya


“Uko na the right kumake your own choices bila shame. Si must ufanye the same things as your friends kila saa” 


Red Flag Alert #3: You’re Always Giving, Never Getting

Checklist:

☐ Mi hucheck in, kulisten na kumsaidia, lakini when I need them, hawako

☐ Yeye huni ghost akiwa sawa, lakini anarudi akitaka kitu

☐ Na feel drained after nime hangout na yeye


“Uko allowed kuulizia balance. Friendship ni a two-way street.”


Red Flag Alert #4: They Always Create Drama 

Checklist:

☐ Ye huenjoy kuanzisha beef au kuongelelea watu behind their backs

☐ Mimi hujipata katikati ya drama yako

☐ Sifeel safe kushare secrets zangu na yeye


“Drama sio exciting. Inachosha. Si responsibility yako kufix mess yake.”


Red Flag Alert #5: They Are Always Competitive 

Checklist:

☐ Mi huhype wins zake, but when it’s my turn amenyamaza tu

☐ Kuna time nlishare something I was proud of, and she changed the topic

☐ Yeye hujicompare na mimi kila time instead of just being happy for me


Friendship haifai kuwa mashindano. You should be uplifting each other.”


Kama umetick hizo boxes kwa checklist, hio ni sign that energy iko fake. That’s not cool ju mabeshte wako wanafaa kukulift up. 


Uko na the power kutake a step back, set boundaries na uchoose better vibes instead. Ni sawa kusema hauko down. We’re rooting for you, you got this!